Special Olympics World Games
Olimpiki Maalumu hutoa mafunzo ya michezo mwaka mzima na huandaa mashindano ya riadha kwa watoto na watu wazima wenye matatizo ya akili. Kupitia kazi yao, wanariadha wanaoshiriki hupata fursa ya kufanya mazoezi ya mwili, kuonyesha ujasiri na kuonyesha vipawa vyao kwa jumuiya ya ulimwengu.
Gundua jinsi mashirika mengine yanatumia mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida kuleta mabadiliko.
Van Gogh Museum
Makavazi ya Van Gogh hutumia YouTube na Ruzuku za Matangazo ili kuwafikia wageni wapya na kuhamasisha.
Royal National Lifeboat Institution
RNLI inatumia zana za Google kuhamasisha, kuandikisha wafadhili wapya na kuelewa vizuri watu wanaotembelea tovuti yake.
Thrive DC
Shirika la Thrive DC hutumia mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida kufanya kazi kwa haraka ili kupata muda mwingi wa kuhudumia jumuiya.