Anaheim Ballet
Anaheim Ballet inalenga kufahamisha na kuburudisha hadhira zetu kwa kutumia maonyesho ya jadi na mawasilisho ya kisasa. Inatoa maonyesho bora kwa hadhira inayopenda ngoma ya Bale pamoja na wanaoanza kuifurahia, na huvutia wasanii shupavu kutoka California Kusini na ulimwenguni kote.
Gundua jinsi mashirika mengine yanatumia mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida kuleta mabadiliko.
Thrive DC
Shirika la Thrive DC hutumia mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida kufanya kazi kwa haraka ili kupata muda mwingi wa kuhudumia jumuiya.
WITNESS
Ili kusambaza maudhui ya kushurutisha na kupanga shughuli za kila siku, WITNESS hutegemea zana za Google zisizolipishwa.
Fundación Todo Mejora
Fundación Todo Mejora hutumia Ruzuku za Matangazo ili kutoa ushauri wakati wa matatizo kwa vijana wa LGBT kote nchini Chile.